header

nmb

nmb

Wednesday, September 29, 2010

UGOMVI WA WANA CCM WAACHIE WENYEWE.MONICA MBEGA MWAKALEBELA WAPATANA IRINGA MJINI!!

Mgombea ubunge Jimbo la Iringa mjini, Monica Mbega (kulia),
akikumbatiana kwa furaha na David Mwakalebela baada ya
kuahidi kuvunja makundi mbele ya Mjumbe wa Kamati ya
Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Viajana wa Chama Cha
Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete (kushoto) katika
kikao cha Baraza la UVCCM, Iringa mjini jana. (PICHA NARICHARD MWAIKENDA) Habari imepatikana Full Shangwe

No comments:

Post a Comment