header

nmb

nmb

Wednesday, September 29, 2010

MISS TANZANIA AAGWA KIFAMILIA NA KUOMBEWA DUA LA KHERI!!

Miss Tanzania Geneviva Emmanuel akiongozana na baba yake wakati walipokuwa wakiingia ukumbini. kwa ajili ya sherehe ya Mumuaga Kifamilia jana usiku.Geneviva akiwa na kaka yake Dunstan kushoto na mdogo wake Brian kushoto.
Mwanamuziki wa mwimbaji wa Kalunde Band Debora Nange akiingia ukumbini.
Elsi Mgimba naye akajimwaga ukumbini hapo.
Kocha wa Yanga Kostadic Papic akiongea na baba wa Geneviva Bw. Emmanuel Mpangala kushoto ni Vodacom Miss Tanzania akiwaangalia kwa tabasam.

Zaidi tembelea Blog ya Full Shangwe

No comments:

Post a Comment