WAmasai wakicheza katika uzinduzi huo uliofanyika Mwenge Dar es Salaam
Uzinduzi huo ulifatana na Semina ya siku moja kwa vijana kuhusu kujikinga na Masambukizo mapya ya Ukimwi kwa vijana ambapo ulishirikisha Machinga Masai na Wapiga debe.Uzinduzi huo umedhaminiwa na PSI
No comments:
Post a Comment