header

nmb

nmb

Friday, September 24, 2010

MWIGIZAJI , MZEE KIPARA BADO HALIYAKE HAIJA TENGEMAA VYEMA BADO DUWA ZENU ZAITAJIKA ILI ALEJEE KATIKA FANI!!POLE MSANII MWENZETU :-Kanumba na magese wakiongea na mzee kipara nyumbani kwake kigamboni walipo kwenda kumjulia hali.Prblog inamuombea kwa mungu apone haraka na alejee katika shuguli zake za ujenzi wa Taifa na kuwakomboa wasanii!!.Picha ya mtandao wa unique Enterteinment

No comments:

Post a Comment