header

nmb

nmb

Thursday, September 2, 2010

Kocha mpya wa timu ya Taifa ya Netiboli, Simone Macknis (katikati) kutoka Austaria, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kuiimarisha timu ya Netball Taifa. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi mwingine ni nahodha wa kikosi hicho Jackline Sikozi. Kocha huyo mpya wa timu wa Netball Taifa amesema kuwa hana la kuwaahidi Watanzania juu ya nini atafanya kwa timu hiyo. Bali amesema kuwa atashirikiana kikamilifu na wachezaji sambamba na benchi la ufundi. (Picha:Mdau )

No comments:

Post a Comment