
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama salma Kikwete leo (24.8.2010) akipokea maua wakati alipowasili katika Makao makuu ya ofisi ya Chama Kibaha mkoani Pwani katika ziara yake ya kuhamasisha wanachama wa UWT kuhusu uchaguzi Mkuu mwaka huu.
UWT Pwani wanapohamasika

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mama Salma Kikwete jana akiwanadi wagombea wa Ubunge na Madiwani wa chama cha Mapinduzi mkoani Pwani . RAMADHANI MANENO NJE
No comments:
Post a Comment