Mkurugenzi wa Teknohama (ICT) wa Ardhi Bwana Elias Nyabusani wa kwanza kushoto akimwonyesha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi nyumba iliyojengwa na Kampuni ya Ujenzi kwa Teknolojia mpya (Space Creation LTD)Bwana Suchek Sanjay kwenye maonyesho ya nanenane mjini Dodoma
Bwana Pato Ninje (wa kwanza kulia) wa Wakala wa Taifa wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi(NHBRA)akimwonyesha matofali ya udongo saruji yanayofungamana Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Capt. John Chiligati wa pili kulia alipotembelea maonyesho ya Nanenane mjini Dodoma.PIX ANNA ITENDA IDARA YA HABARI (MAELEZ.
No comments:
Post a Comment