header

nmb

nmb

Tuesday, June 1, 2010

SAFARI YA WASANII KUELEKEA VISEGESE MKOANI PWANI.INADAIWA MKUU WA WILAYA NI KIKWAZO CHA MAENFDELEO YA WASANII NA WANAKIJIJI!!

Msafara ulianza hivi

Wadau wa sanaa wakivinjari kijijini

Mzee wa kijiji akipiga picha hukuakiwa na msanii fred

Mpiga picha Imma Mbuguni (katikati) akiongoza kikosi cha wasanii kuangalia baadfhi ya maeneo kijijini Visegese


Baadhi ya wanakijiji wakiwangoja wasanii huku wakiwa na hofu ya kukutwa na Mkuu wa Wilaya hiyo ambaye aliwakataza wana kijiji kuwakaribisha wasanii kwa kilekinacho daiwa ni Chuki Binafsi .

Baadhi ya wasanii wakiwa katika mkutano uliofanyika kijijini hapo kwa muda wa dakika 5 kabla ya kulejea jijini
Kirimo kwanza wakiongea na wasaniio

Mzee wa Kijijui akionyesha maeneo yanayopaswa kupewa wasanii wa SHIWATA


Misukosuko safarini basi hili ilibaki kiduchu kupinduka na wasanii wakiwemo ndani hii ilitokea wakati tu8nakwenda kijijini .MUNGU NI MKUBWAMbuga nzuri ambayo itamilikiwa na wasanii

No comments:

Post a Comment