header

nmb

nmb

Thursday, June 17, 2010

WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YASAGEZWA MBELE!!



Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani nchini, Bw. Mohamedi Mpinga akizungumza na wanahabari na askari wa kikosi hicho DSM jana kuhusu kubadilika kwa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kwa mwaka huu, ambayo itaanza Julai 19 hadi 24 kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.

No comments:

Post a Comment