header

nmb

nmb

Friday, June 11, 2010

KAMPUNI YA T-MARC YAFANYA SEMINA YA KUWEKA MIKAKATI YA KUELIMISHA WALEVI KUHUSU NGONO ZEMBE!!

MD. wa T-MARC, Bi. Diana Kisaka akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mpangomkakati wa kuwafikia walevi na wanywaji kuchukua hatua ya kupunguza unywaji kupita kiasi ilikuweza kutoa maamuzi wakati wa kufanya tendo ngono.Kulia ni Prisca Rwezahura ambaye ni Mkurugenzi wa masoko T-MARC
Ofisa uhusiano wa T-MARC Bi. Jojina Tesha Akisisitiza jambo katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment