MSHTAKIWA Jeshi Salum (31), mkazi wa Mtoni, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba (7).
Mshitakiwa amesomewa shitaka lake na Mwendesha Mashitaka wa Polisi Allice Mtonga mbele ya hakimu Karoline Kiliwa.
Imedaiwa na mahakamani kuwa Juni 17, mwaka huu, saa 1 usiku, huko maeneo ya Sokota katika Manispaa ya Temeke alimbaka Zaina Rajabu (7) na kumsababishiaAJI JAJI MKUU.maumivu makali katika sehemu zake za siri.
Mshitakiwa amekana mashitaka na kesi itatajwa tena Julai 2, mwaka huu.
Katika kesi nyingine, mshitakiwa Vailet Augustino (25), mkazi wa Chang'ombe, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Temeke kwa kutokutoa taarifa ya wizi.
Mshitakiwa amesomewa shitaka lake na Mwendesha Mashitaka wa Polisi Issaya Mwanga mbele ya hakimu Rose Kangwa.
Imedaiwa na mahakamani kuwa Juni 14, mwaka huu, saa 2 usiku, Chang'ombe Polisi mshtakiwa alikataa kutoa taarifa ya tukio la wizi lililofanyika katika Shule ya Msingi Kibasila.
Mshitakiwa amekana mashitaka lake na kesi itatajwa tena Julai 2 mwaka huu.

No comments:
Post a Comment