header

nmb

nmb

Friday, June 18, 2010

WALIOCHEZA MCHEZO MCHAFU KUIBA KATONI ZA KONYAGI WATINGA KIZIMBANI!!

ONYO WATAKAO IGA KUKIONA ZAIDI!!


MSHITAKIWA Jonas Daudi (28) na Adamu Mwenda (22) wakazi wa Sinza wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu mashitaka ya wizi wa katoni za konyagi.
Mbele ya Hakimu Suzan Kihawa ilidaiwa na Mwendesha Mashitaka Inspekta wa Polisi Idd Kiyagoma kuwa, Mei 20 mwaka huu, washitakiw awaliiba katuni za konyagi zenye thamani ya sh. 5817500 mali ya Kampuni ya Tanzania Distilleries Co.LTD.
Mshitakiwa amekana mashitaka na kesi itatajwa tena Juni 27 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment