header

nmb

nmb

Sunday, May 9, 2010

MWANA UMLEAVYO NDIO AKUAVYO MSEMO HUUU WA WAHENGA!!


Monalisa Thompson (6),Mkazi wa Mtaa wa Mt.Mathias Mulumba,Uhindini jijini Mbeya,Tanzania,akifanya maandalizi ya awali ya kupika chakula .Ni Mtoto wa Mdau wetu wa mbeya
THOMPSON MPANJI,Nawe mdau msomaji wetu waweza kututumia picha za Ubatizo Kuolewa,NK nasi tutazilusha hewani

No comments:

Post a Comment