header

nmb

nmb

Monday, May 31, 2010

HEKAHEKA ZA UCHAGUZI ZAANZA JIJINI MBEYA!!


Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema),Daud Mponzi (kulia) akipokea fomu ya kuomba nafasi hiyo kutoka kwa Katibu wa Chadema hicho Wilaya ya Mbeya,Dickson Mwakilasa makao makuu ya Ofisi za chama hicho. (PICHA NA THOMPSON MPANJI)

No comments:

Post a Comment