header

nmb

nmb

Monday, May 31, 2010

WAFANYAKAZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAFUNDWA!!


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Ruth Mollel akifunguwa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais uliofanyika kwenye Ukumbi wa PPF Two DSM,Kulia ni Mkurugenzi Utawala Bw.Raymond Moshy na Kushoto ni Bi.Esther Makwaia Ofisa Mazingira Mkuu

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel }Pichani hayupo} wakati wa Ufunguzi wa Baraza Kwenye Ukumbi wa PPF Two Mjini Dar es Salaam.[Picha zote na Ali Meja}

No comments:

Post a Comment