header

nmb

nmb

Thursday, May 13, 2010

KIBAKA AMKIMBILIA TRAFIKI AOKOEWE MAISHA YAKE!!


Kijana ambaye jina lake halikufamika (wa pili kushoto) akimkimbilia Askari wa Usalama Barabarani aokoe maisha yake kufuatia kipigo kutoka kwa watu waliokuwa na hasira waliomtuhumu kuiba simu ya mkononi, Kariakoo, Dar es Salaam. Picha na Rajabu Mhamila wa Dar Leo

No comments:

Post a Comment