header

nmb

nmb

Friday, April 23, 2010

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA!!!.. HABARI YA UJENZI MCHIKICHINI NENDA CHINI!!

Kiongozi wa Upinzani Bungeni (kushoto) Hamad Rashid akiongea na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernald Membe ambaye pia ni mbunge wa jimbo la (Mtama) na Basil Mramba Mbunge wa jimbo la (Rombo).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Kulia akizungumza na Mbunge wa Kwela mkoani Rukwa Christant Mzindakaya leo katika vikao vya Bungeni vinavyoendelea mjini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani akiwa katika picha ya pamoja na wanawake kutoka Igunga , Tabora kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23, 2010. Wanawake hao walialikwa na Mbunge wa Viti Maalum, Aziza Sleyum Ally (kulia kwa Waziri ) na kushoto ni Mbunge wa Sikonge, Said Juma Nkumba .Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment