Meneja mkuu wa Kampuni ya Said Sefu Bahalesa Bw. Said Mohammad Said akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu hatua ya kapuni yake ya kuisaidia Serikali kupambana na malaria kwa kugawa Vyandalua kwa wafanyakazi wake wote nchi nzima.Mkutano huo ulifanyika DSM leo
No comments:
Post a Comment