header

nmb

nmb

Monday, March 1, 2010

Msondo ya konga nyoyo za wapenzi Bonanza la TTC

Mkung'uta Gita la soro Sauid Mabela akifanya vitu vyake


Romario mun'yande akipuliza Saksafon

Mnenguaji akionyesha umahili wake



Mnenguaji mamanzawisa akijituma



Baadhi ya wapenzi wa Msondo waki kodoa macho kushuhudia onyesho hilo

Wadau wa Habari walikuwapo

Mzee mwenda Choma choma na Mawazo pia walikuwapo

No comments:

Post a Comment