header

nmb

nmb

Monday, March 1, 2010

MSANII MAARUFU ATEMBELEA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA KUMWAGA VICHEKESHO ANA MIAKA 113

Mkuu wa Usalama barabarani nchini Bw.Jemes Kombe akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Muziki wa Taarabu Bi Kidude kutoka ZNZ ,alipo tembelea kuwasalim. Pamnoja na mambo mengine Bw. Kombe alibusu mkono wa bi Kidude na kumweleza amwombee naye aishi maisha marefu.Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Bw. Mpinga akiegemewa na Bi kidude

Bi Kidude akiuchuna kupiga picha na ZTO Mkuu wa Usalama Kanda ya DSM katikati ni mimi nduguyeni nami nikiuza sura


Bi. kidude akiongea jambo wakati akisindikizwa kuondoka katika ofisu sa Usalama barabarani Makao makuu DSM . Kulia ni Mjukuu wake anaye ishi nchini UK Bi Yasmin,ambaye kwa sasa ndiye anaye mlea Bi Kidude

No comments:

Post a Comment