header

nmb

nmb

Thursday, February 11, 2010

Ulikuwa wapi NELSON MANDELA alipoachiwa huru siku kama ya leo...!


Miaka 20 iliyopita Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini aliachiwa huru baada ya kifungo cha miaka 27 jela, KUMBUKA SIKU HIO ULIKUWA WAP MDAU ???


Nelson Mandela na mkewe Winnie wakinyanyua mikono juu baada ya kuachiwa huru kutoka ktk gereza la Victor Verster huko mjini Paarl, tarehe 11 February 1990


No comments:

Post a Comment