header

nmb

nmb

Thursday, February 11, 2010

Nguza Vicking 'Babu Seya' na mwanae Papii Kocha, wakipigwa pingu kurudishwa jela kutumikia kifungo cha maisha

Askari magereza kulia akimvalisha pingu Papii Kocha na babaye Babu Seya tayari kuwarudisha gerezani kutumikia kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka.Nguza na watoto wake wanne walihukumiwa kwenda jela maisha kwa kosa la kubaka miaka minne iliyopita kabla ya kukata rufaa iliyotolewa hukumu Mahakama ya Rufaa Tanzania leo.

No comments:

Post a Comment