(Picha zote kwa hisani ya Imma Mbuguni wa Business Times Ltd)
Washiriki wa mashindano ya kuanza 250 race wakisubiri amri yakuanza mashindano
Bodaboda pia walipewa nafasi ya kuonyesha vitu vyao Mashindano ya kirafiki
Mshindi wa kwanza kwenye 250Race, Masoud Seif akimpita mmoja wa washiriki kwa staili ya aina yake
Mshindi wa kwanza bodaboda (shaaban Haji) akionyesha uwezo wa kucheza na Pikipiki ya Mchjina
Kitimtim kutoka Dar akifanya vitu vyake kwa mbwembweeesanatu
Bodaboda wakishindana hapa kilammoja akitafuta kumpita mwenzake
Kitimtim kutoka Dar akifanya vitu vyake
Mshindi wa tatu kwenye Open Race Andres PerezMmoja wa washindi wa Bodaboda Race Rashidi akichukua zawadi yake
Masoud Seif akipokea hati ya ushindi wa kwanza kwenye 250Race
Dylan Sanders akiangalia hati yake ya ushindi wa .kwanza kwenye Kids Race
Amani Wilbard akipokea hati ya ushindi wa tatu kwenye 250R
Volvo na Tonny Montana wakijadili jambo muda mfupi baada ya kwisha kwa mashindano hayo ambayo kwakweri yalileta msisimko jijini Arusha
Ndugu wasomaji wetu wiki hii tunawaletea mashindano ya kimataifa ya pikipiki ya Asti Motocross Championship 2010 part one yaliyofanyika Arusha wikiendi iliyopita.






No comments:
Post a Comment