header

nmb

nmb

Thursday, February 25, 2010

NGOMA ZETU NI MUHIMU KUDUMISHA UTAMADUNI HUU MAMATUMU PINDA

Wasanii wa Tabora Mjini wakicheza ngoma ya asili ya kabila la Wanyamwezi ijulikanayo "Waswezi" wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokagua bwawa na josho katika kijiji cha Imalamihayo wilayani Tabora akiwa katika ziara ya mkoa huo juzi. (Picha Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment