header

nmb

nmb

Thursday, February 25, 2010

KESHO NI MKESHA WA BESIDEI YA MTUME MOHAMAD

Shehe Mkuu wa Tanzania ametangaza kuwa kesho usiku watanzania wenye imani ya dini ya kiislam watakesha kungojea kuzaliwa kwa Mtume Muhamad. Sherehe Rasmi zikakuwa Jumamosi mkoani Mtwara na mgeni Rasmi atakuwa ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Jakaya Kikwete

blog yenu ya prhabari kwa Dunia nzima inawatakia waislam maandalizi mema

No comments:

Post a Comment