MCHEZO UMEKWISHA YANGA YA LALA 3.2
Kocha wa Yanga akijiuliza ni kitu gani kimetokea, huku wachezaji wake wakisikitika Mdau natumai tulikuwa pamoja kufuatilia mchezo Yanga na Lupopo ya Kongo kwa sasa mchezo umekwisha na Yanga wamecheza kichovu kwa kukosa mabao kibao wamelala 3-2 usichukie mtani kwani ni mchezo tu
No comments:
Post a Comment