header

nmb

nmb

Friday, February 12, 2010

Lundenga aingia mitini kumdhamini Miss TZ..!



Baada ya kusomewa mashtaka yaliyomfikisha kizimbani leo, Miss Tanzania Miriam Gerald amekosa dhamana na kupelekwa lupango ktk gereza la keko mpaka tarehe 25 February kesi yake itakapotajwa tena.

No comments:

Post a Comment