header

nmb

nmb

Friday, February 12, 2010

Kiboko ya Yanga watua jijini..!

Baadhi ya wachezaji wa timu ya FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), ambao wanacheza na Yanga katika mechi ya kwanza ya Klabu Bingwa Afrika walipowasili leo alfajiri, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.


No comments:

Post a Comment