Washitakiwa wa kesi ya DECI, wakirudishwa rumande mara baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana.
Kutoka kulia ni Bw. Jackson Mtares, Bw. Timotheo ole Loityinye, Bw. Samwel Mtares na Arbogast Kipilimba.
No comments:
Post a Comment