Mwenyekiti wa blog hii Spear Patrick akisalimiana na aliyekuwa bingwa wa kuogelea katika shule ya ST. Mary's za jijini DSM, Matha Kikwa. Kwa sasa binti huyo anasoma kidato cha 6. Katika hali inayoonyesha Dam ya Mzee Kikwa ni ya Michezo Baba Mdogo wa Benti huyu alikuwa mchezaji wa timu ya Wekundu wa Msimbazi SIMBA Marti Kikwa ambaye ni Marehemu kwa sasa. Mungu aiweke roho yake Peponi
No comments:
Post a Comment