Asante sana wadau wa PPRA na PCCB kwa kuikumbuka Blog yetu na tunaomba uhusiano huu uendelee ili kuipasha jamii ya ndani na kimataifa
Sehemu ya hotuba ya ufunguzi
Baadhi ya wadau wa PPRA na PCCB wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mapumziko. Wadau hao walijumuika kwa pamoja katika warsha ya uhusiano ambayo ilikuwa ikizungumzia jinsi ya kushirikiana kudhibiti rushwa katika sekta ya manunuzi ya Umma
Picha ya pamoja iliyopigwa wakati wa semina hiyo
Mkurugenzi wa PCCB Dr.Edward Hosea alipata nafasi ya kuzungumza na wanahabari wakati wa warsha iliyofanyika Dar es Salaam leo
Ofisa Mtendaji Mkuu wa (PPRA) Dr. Ramadhani Mlinga akifafanua jambo nje ya chumba cha mkutano leo asubuhi
Ofisa Mtentaji Mkuu wa PPRA Dr. Mlinga akibonyeza kitufe cha kompyuta Mpakato (Laptop) kutoa maelekezo kwa wanasemina waliohudhuria
No comments:
Post a Comment