header

nmb

nmb

Monday, January 18, 2010

Zain yawazawadia washindi wa gofu...


Mcheza gofu Sophia Mathias akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo ya kila wiki yaliyofanyika Lugalo Dar es Salaam juzi, mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zain.(Picha na Rajabu Mhamila)








Luteni Burure Magige(Kushoto) akimkabidhi simu mshindi wa wiki katika mchezo wa gofu uliodhaminiwa na kampuni ya Zain Ofisa masoko wa Benki ya biashara ya Akiba Moses Namuisa baada ya kuibuka mshindi Lugalo,Dar es Salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment