Radi na Mvua yenye upepo mkali ilizua taflani jana katika makaburi mkoani hapa na kusababisha baadhi ya waombolezaji kutimka mbio na ilikunusuru maisha yao.
Miongoni mwa watu walio timka mbio ni Waziri wa zamani Mzee Mungai ambaye alionekana kama kijana wakati wa kukimbia kiama hicho.Hayo yalitokea katika mazishi ya Aliyekuwa Dereva wa Kituo cha Ibon FM cha Mjini Iringa.Zaidi Tembelea FRANCIS GODWIN MZEE WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment