Mkazi wa Kihesa ambae ni mfanyabiashara wa soko la Kihesa akionyesha dampo ambalo jana mtandao huu uliripoti kuwa ni chafu na takataka zimejaa pamoja na kutupwa mbwa wanne waliouwawa mitaani .
Leo uongozi wa afya Manispaa ya Iringa umefika kuondoa taka ndani ya dampo hilo na kufanya eneo hilo kurejea katika hali ya kawaida ya usafi japo wameomba Manispaa ya Iringa isingoje hadi watu walalamike ndipo taka zitolewe katika vituo.
Mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com unaupongeza uongozi wa afya manispaa ya Iringa kwa kushughulikia tatizo hilo kwa wakati .
HII NDIO STORI YENYEWE YA JANA NDANI YA MTANDAO HUU
Mbwa waliouwawa na maofisa wa mifugo Manispaa ya Iringa wakiwa wametupwa katika dampo la taka eneo la soko la Kihesa na kupelekea wateja kukimbia katika soko hilo kwa harufu kali ya mizoga hiyo ya mbwa
Mfanyabiashara wa soko la Kihesa akionyesha mzoga wa mbwa uliotupwa katika dampo hilo baada ya kuuwawa na maofisa mifugo wa Manispaa ya Iringa ,huku chini kukiwa na mzoga mwingine wa mbwa uliotupwa eneo hilo ambalo zaidi ya mbwa wanne wametupwa jana na leo
Dampo likiwa na taka pamoja na mbwa waliotupwa eneo hilo .
Leo uongozi wa afya Manispaa ya Iringa umefika kuondoa taka ndani ya dampo hilo na kufanya eneo hilo kurejea katika hali ya kawaida ya usafi japo wameomba Manispaa ya Iringa isingoje hadi watu walalamike ndipo taka zitolewe katika vituo.
Mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com unaupongeza uongozi wa afya manispaa ya Iringa kwa kushughulikia tatizo hilo kwa wakati .
HII NDIO STORI YENYEWE YA JANA NDANI YA MTANDAO HUU
WATEJA SOKO LA KIHESA WAKIMBIA HARUFU KALI YA MIZOGA YA MBWA WANAOTUPWA KWENYE DAMPO SOKONI HAPO
Mfanyabiashara wa soko la Kihesa akionyesha mzoga wa mbwa uliotupwa katika dampo hilo baada ya kuuwawa na maofisa mifugo wa Manispaa ya Iringa ,huku chini kukiwa na mzoga mwingine wa mbwa uliotupwa eneo hilo ambalo zaidi ya mbwa wanne wametupwa jana na leo
Dampo likiwa na taka pamoja na mbwa waliotupwa eneo hilo .
No comments:
Post a Comment