Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Nigeria the Super Eagles wakishangilia na kombe lao
la AFCON baada ya kuwaondoa wapinzani wao Bokinafaso kwa goli moja
kweenye mechi ya fainali iliyochezwa muda mfupi uliopita nchini Afrika
Kusini.
Wachezaji
wa Nigeria wakishangilia mara baada ya kipenga cha mwisho kwenye mchezo
wa Fainali ya AFCON nchini Afrika ya kusini iliyomalizika hivi punde,
kushoto ni mshambuliaji wa Bokinafaso akiwa ameshika kiuno.
No comments:
Post a Comment