header

nmb

nmb

Friday, November 25, 2011

Msanii wa Uganda Jose Chameleone Awarusha Wakaazi wa DMV



Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone akifanya vituz vyake ndani ya Rendezvous Hall mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.S
ba
Juu na chini full warembo wakipata hisia za muziki wa muimbaji maarefu kutoka nchini Uganda Jose Chameleone.

No comments:

Post a Comment