header

nmb

nmb

Friday, November 25, 2011

KUFUATIA AJALI HIII MBAYA ILIYOTOA UHAI WA MJAMZITO NA MWANAE TUMBONI. KAMANDA WA POLISI MKIKOSI CHA USALAMA BARABARANI ATOA WITO!!

Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Muhamed Mpinga Amewataka Madereva Kuwa waangalifu na Kufuata Sheria za Usalama barabarani katika Kipindi hichi cha Kuelekea mwishoni mwa mwaka ilikuepuka Kupoteza maisha ya watu ma malizao.







Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta.Habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana.




Watu wakishuhudia ajali hiyo iliyotokea maeneo ya Ubungo River Side jijini Dar es salaam.





No comments:

Post a Comment