header

nmb

nmb

Thursday, June 30, 2011

Miss Tabata na Miss Kanda ya kati zilivyofana... OFISA WA TDL azua Kasheshe Ukumbini!!


Ilikuwa ni Aibu kubwa katika lango la kuingilia ktk mashindano ya Miss Kanda ya kati pale Ofisa wa Kanda ya Kati wa Kampuni ya TDL. Mr KIBONA (kulia) alipozua Mzozo na Mashabiki waliokuwa wa wakitaka kuonja Mnvinyo wa Dodoma Wine na yeye kutaka kuwauzia kwa Tsh 10000 (ELF KUMI) kwa chupa huku wapenzi hao wa Miss wakifaham fika kuwa mvinyo huo kuonja ni Bure kabisa. Pichani wakimkoromea na kumtaka kuacha kuibia wateja.

Mwenyekiti wa pr promotion Spear Patrick akiwa na waasisi wa michuano ya miss Tanzania,Hashim Lundege (kulia) wakati wa Michuano ya Miss Kanda ya Kati Mjini dodoma

Mashabiki Miss Kanda ya kati wakiangalia Shindano hilo Kwakweli walipendeza sana


Mijichupa ya Mvinyo wa Dodoma Wine ikiwa imejazana katika meza Tayali kwa kuonjesha waalikwa
Kaka Samamba akiwa katika Miss Tabata (Aliye jishika mikono)
Hahahahahahahah Kicheko saaaaana Ngailo(kulia) akiteta jambo wakati wa Michuano ya Miss Tabata

No comments:

Post a Comment