
Washindi wa nne wote wameingia katika Miss Tanzania

Si lwamba kaanguka aaa no ni mambo ya kusaka ushindi katika shindano hilo. aliambulia nafasi ya Pili Miss Kanda ya kati


AAAAAAAAAAAAA kaka mkubwa Pr promotion naye aliitwa akapige picha na Miss kanda ya kati naye hakufanya makosa

Nikama wanafuata bit "eeeeeeee twende sasa"

Kujimwaga ukumbini mambo yalipo noga

Mzee yusuph akitoa Burudani.Picha zaidi Midamida
No comments:
Post a Comment