header

nmb

nmb

Thursday, June 9, 2011

TGNP YAANDAA MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA

Afisa habari wa TGNP Bi. Kenny Ngomuo akifuatilia jambo wakati wa mafunzo hayo

Mwezeshaji wa mafunzo hayo Bwana Deus Kibamba akiendelea kutoa mafunzo,ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia hatua ya kuwepo kwa mfumo dume unaowakandamiza wanawake nchini hususani wa pembezoni kutokuwa na fursa ya kushiriki katika mijadala mbalimbali ya kitaifa.









Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo tofauti vya habari wakifuatilia Mafunzo hayo kwa umakini mkubwa.






No comments:

Post a Comment