header

nmb

nmb

Saturday, May 28, 2011

TDL yafanikisha Miss Mtwara Kupitia Kinywaji cha Dodoma Wine.PR Promotion nao walikuwepo !!




Miss Mtwara (katikati) akiwa na mshindi wa pili na watatu ktk picha ya pamoja mara baada ya shindano yakumsaka mrembo wa mkoa huo


Mwakilishi wa Konyagi kanda ya kusini Bw.Ngailo (kulia) akiwa ktk Picha ya pamoja na Miss Mtwara

Miss Mtwara 2010(kushoto) akimvisha taji Miss Mtwara 2011

Mfanyakazi wa TDL akifungua Chupa ya kinywaji cha Dodoma Wine kwa Mtoto wa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini

Mwakilishi wa Konyagi .Bw.Ngailo akipongezana na Mwenyekiti wa PR Promotion Bw.Spear Patrick baada ya kuwa moja kati ya walio fanikisha shindano hilo

Mashabiki wakiingia mlangoni na kupewa glass ya Wine kwaajili yakuonja ladha yake

Mwakilishi wa Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini akitoa zawadi kwa mshindi

Msanii wa kizazi kipya Sam wa Ukweli akiwapagawisha mashabikui walio jazana ukumbini hapo,


Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo

Moja kati washiriki akipita jukwaani na vazi la ubunifu

Tano Bora

Bendera ya Taifa ilitamba

Kivazi cha ufukweni



Mashabiki

No comments:

Post a Comment