header

nmb

nmb

Tuesday, May 3, 2011

Vikombe vingine Newala na Dar es Slaam!!

Bi.Luwongi wa newala akingoja wateja ambao wamejazana nje ya nyumba yake kungoja kunjwa kikombe alicho oteshwa ndotoni kuwa kinatibu magonjwa sugu!!Picha kwa hisani ya Mdau wa Blog ya Michuzi (Hussein aliyekuwako huko)Huyu Mganga Mahanga Kapeji Hela naye kutoka mwanza akigawa kikombe kwa wana habari Kikombe chake Buku atagawa Dar es Slaam. Pichani akiwaonjesha wanahabari.Zaidi tembelea Micchuzi!!

No comments:

Post a Comment