header

nmb

nmb

Tuesday, May 3, 2011

CRDB yamwaga Mabilioni kwa wakulima wa Korosho Mkuranga!!

Wakulima waKorosho wa Wilaya ya Mkuranga wakimsikiliza mkurugenzi mtendaji (picha chini) Dr. Kimei wa Benki ya CRDB wakati akitoa hutuba ya Matumaini kuhusu kuboresha Zao la Korosho wilayani huo.Benki hiyo hadi sasa Imesha wakopesha Mapeni wakulima hao zaidi ya Bilioni 4. Zaidi tembelea Michuzinvzz

No comments:

Post a Comment