Kaka Alex Samamba (kushoto) wa KONYAGI Akigonganisha grasi na Mwakilishi wa wauzaji wa jumla kanda ya Kaskazini Bi Bahati Godwin
Bi Bahati akijiandaa kuukata utepe kwa ajili ya uzinduzi (kulia) ni Meneja Masoko wa TDL KONYAGI Bw. Joseph Chibehe akifuatilia tukio holo kwa makini naye mwaigo kushoto
DJ JOE akiwa katika mashine 1.2 kuwarusha wadau wa Konyagi kwa sana huku mwenyewe akilamba radha ya Nanasi
Mama Konyangi akipunga mikono wakati wa utambulisho. Ukifika Konyagi Bila ya huyu Mdada wewe hutafanikiwa kumuona mtu furani
Mambo ya menyu pia kwasana tu
Nanasi linapo kolea
No comments:
Post a Comment