Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Rodger Tenga akikabidhi ngao ya Hisani kwa mchezaji wa Yanga Freddy Mbuna mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam .Simba wadai pamoja na kuchukua ngao ya Hisani lakini yanga watakiona cha Moto msimu wa Ligi kuu.
No comments:
Post a Comment