TIGO WAKABIDHI ZAWADI KIBAO KWA WASHINDI WA PROMOSHENI ZAO ZINAZO ENDELEA!!
Ofisa wa kampuni ya simu za mkononi ya tigo Msanja (Kulia) akimpongeza mmoja kati ya washindi wa bahati nasibu zinazo endeshwa na kampuni hiyo Bw. Iddi Kaputawana mkazi wa Ukonga Dar es Salaam baada ya kuibuka mshindi wa Bajaji na kukabidhiwa leo
No comments:
Post a Comment