Hii ndiyo tano bora ya Miss Higher Learning kuanzia kulia Judith Osima, Pendo Sam, FLora Martin, Rahma Swai na Rachel Filbert mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye shindano linalofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. Vazi la jioni likiendelea jukwaani. Hapa warembo wakipita jukwaani na vazi la jioni. Mashabiki wa urembo wakifurahia jambo huku wakipuliza mavuvuzela yao ambayo yameleta balaa katika nchi za Ulaya na kupigwa marufuku.
No comments:
Post a Comment