header

nmb

nmb

Thursday, June 10, 2010

KOMBE LA KAWAMBWA KUENDELEA KUSAKWA JUMAMOSI NA JUMAPILI BAGAMOYO PWANI LIMEDHAMINIWA NA TDL!!






Zaidi ya timu 12 kutoka katika vitongoji vya mji wa Bagamoyo zimekuwa ziki menyana kuwania kikombe cha Mbunge wa jimbo hilo katika viwanja mbalimbali vya mji huo wa Bagamoyo.
Jumamosi ni hatua ya Robo fainali mshikemshike huo utakuwa katika uwanja vya Mwanakalenga Uliopo Bagamoyo tauni wadau wa Kinywaji cha KONYAGI NA WENGINE WENGI TUKUTANE UWANJANI.

No comments:

Post a Comment