header

nmb

nmb

Tuesday, June 8, 2010

DUUUUU NYONGEZA YA MISHAHARA NI MUHIMU KWA WALIMU PIA MAZIGIRA BORA NI MUHIMU ONA HII!!

Madenti wakisepa kuelekea mahom kwao




Elimu bora ni pamoja na mazingira mazuri ya walimu na wanafunzi,pamoja na jitihada za serikali na wadau mbalimbali wakiwemo Haki elimu kuweka jitihada mbalimbali za kuikomboa sekta ya elimu hali bado ni mbaya katika shule nyingi za vijijini kama picha tofauti zinavyoonesha hali halisi ilivyo katika Shule ya Msingi Mlowo na Itete,Wilaya ya Mbozi,mkoani Mbeya (PICHA NA THOMPSON MPANJI)

No comments:

Post a Comment