MAMBO YA UREMBO WA KUCHA KATIKA MANISPAA YA MOSHI
Mazee hii kona ni nomaa!! ! kwa kuwapamba akinadada kucha za miguu na mikono nilipo ona nilishikwa na butwaa sana kwani sikuelewa ila nilipo sogea nikakuta kila kijana yuko bize kinoma kutafuta mapene . Hapa ni katika kituo kidogo cha mabasi yaendayo pembezoni mwa manispaa ya mji huu wa Moshi.
No comments:
Post a Comment